Kanisa linatakiwa kuangalia nafasi yake kiroho, kila mmoja akichukua hatua ya toba, kwa unyenyekevu mkubwa. Pamoja na kwamba Kanisa lilikuwa katika hali mbaya kiasi cha kuonekana limekufa, Yesu bado alijua kuwa kanisa lipo. Hoja hapa sio kinachoendelea kwa nje, lakini mioyo ikoje? Kanisa linaweza kuwa hai kiroho, mahudhurio yakiwa mazuri, na shughuli nyingine zote zikiendelea. Wengi wetu tunaweza kuwa tunasoma na kulifahamu neno, lakini kumbe ndo hatujui. Maisha ya toba ya kweli na msamaha yanaanza kupotea. Yote haya yakiwepo, kujikweza kiroho kunaweza kuanza kutawala. Mahudhurio yanaweza kuwa mazuri, matoleo yaweza kuwa makubwa sana, shughuli za diakonia nyingi sana, na watu kuonekana hai. Wakati mwingine, kifo cha kiroho kinaweza kuwepo kanisani bila kuonekana kwa macho ya kawaida. Walikiwepo wachache waliokuwa wenye haki, lakini Yesu hakuwa na muono wa Kanisa kwa ujumla wake.
Lakini Kristo aliliona Kanisa hili lililokufa kiroho. Kanisa lilikuwa na nguvu, na lilionekana kukua kiroho.
Kama lilivyo Kanisa la Sardi, Yesu hatutafakarishi nje ya hapa. Baada ya karne 20, tatizo hili yawezekana likawepo. Hii ndiyo ilikuwa hali ya Kanisa la Sardi, lililokuwa karibu maili 50 mashariki mwa Efeso. Kanisa linaweza kuonekana lipo, lakini likawa limekufa. Tunakumbushwa kutafakari juu ya unyenyekevu, kwamba tukiwa wanyenyekevu Mungu atatuinua. Hayo yote, ni pamoja na somo letu la Leo asubuhi, kama tulivyolisoma hapo juu. Kitabu hiki huitwa Ufunuo kwa sababu kinatoa ujumbe kwa njia ya maono, yaliyofunuliwa na Mungu mwenyewe ili kueleza mapenzi yake na siri za mbinguni. Neno Ufunuo ni tafsiri ya Kigiriki "apokalupsis" na maana yake ni "Ufunuo" au "ufichuo" Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema Nao watakwenda pamoja nami hali wamevaa mavazi meupe, kwa kuwa wamestahili.ĥ Yeye ashindaye atavikwa hivyo mavazi meupe, wala sitalifuta kamwe jina lake katika kitabu cha uzima, nami nitalikiri jina lake mbele za Baba yangu, na mbele ya malaika zake.Ħ Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Walakini usipokesha, nitakuja kama mwivi, wala hutaijua saa nitakayokuja kwako.Ĥ Lakini unayo majina machache katika Sardi, watu wasioyatia mavazi yao uchafu. Maana sikuona matendo yako kuwa yametimilika mbele za Mungu wangu.ģ Basi kumbuka jinsi ulivyopokea, na jinsi ulivyosikia yashike hayo na kutubu. Nayajua matendo yako, ya kuwa una jina la kuwa hai, nawe umekufa.Ģ Uwe mwenye kukesha, ukayaimarishe mambo yaliyosalia, yanayotaka kufa.
1 Na kwa malaika wa kanisa lililoko Sardi andika Haya ndiyo anenayo yeye aliye na hizo Roho saba za Mungu, na zile nyota saba.